Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Wakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo