Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Bunge la katibaWakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
Wakuu salaam

Poa mama shukraniKiduka hii ndogo ya mahitaji madogodogo ya nyumbani? Inatosha kabisa. Ndoo ya mafuta ya kula, kiroba ya sembe, sukari jumla kg 20, box za mbuni, katoni ya sabuni ya unga vile vidogo, katoni ya chumvi, viberiti basi kiduka safi kabisa frame zimejaa! Vikiisha unajazilisha vilivyoisha na vinavyonunuiwa zaidi.
Mkuu laki 3 haitoshi kitu bana hapo hujasema kama unachumba cha biashara ama lah hujatengeneza shelf za duka na rangi ndan...Hiyo itatosha kama unataka kuwa matching guy (machinga).Wakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
Wakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
Kila kitu kipo ni hela ya bidhaa tuuMkuu laki 3 haitoshi kitu bana hapo hujasema kama unachumba cha biashara ama lah hujatengeneza shelf za duka na rangi ndan...Hiyo itatosha kama unataka kuwa matching guy (machinga).
Wakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
Inatosha inategemea unafanyia wapi?