Sh ngapi ada OUT

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Mwaka huu ada sh ngapi chuo kikuu huria kwa undergraduates na foundation course? Najiandaa kujiunga
 
Mwaka huu ada sh ngapi chuo kikuu huria kwa undergraduates na foundation course? Najiandaa kujiunga

Kwa undergraduate ni 60,000/= kwa Unit 1. Kozi mpaka kuisha kwa miaka yote ni units 36-42 so zidisha 42 X 60,000 gawanya kwa miaka 3.
 
kwa mwaka. ni 720000 bcoz unit moja ni 60000 na kwa mwaka ni 12 units
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…