Yeah,
hapa umewaweza wale #TeamWEKAPICHA
kumbe hadi wana team yao?
wana team yaho wapo kama 10 hivi
Hahahahshahaha naomba list yao mkuuu na picha zao..
namkumbuka tusker baridi,wengine majina yao ni kama dawa za mitishamba hivo ni ngumu kushika majina yao ila nenda kwenye habari mchanganyiko pia jukwaa la siasa utawaona hao 9 waliobakia
Yeah,
hapa umewaweza wale #TeamWEKAPICHA
Nikukumbushe kuna Tango pori na nyamatare nadhani hao wanaongoza zaid yaaan akishaweka naomba picha humuoni tena mpaka kwenye uzi mwingine tena na ni neno hilo hilo
Sipati picha walivyo aiseee
hao ndio wanaongoza sana. unaweza kuta umri wao ni miaka 45-70 maana maajabu ayahishi
akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao
wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na master jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, nampenda sana master"mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee
shaa: Nashukuru sana kwani master anapenda sana kupika kwakweli na mara nyingi huwa anapika yeye kuliko mimi, na inshalah namshukuru sana mwenyezi mungu
ah..ah.ah..niliwahi kusoma mahala aliulizwa hili suala akakataa...
Tulikuwa tunaanza, wewe wakati unaanza umesahau?
Kile kuuno cha shaa sio cha kitandani,don't be fooled....mie nimefundishwa unyago tabora najua,kile ni kiuno cha disco wala sio 6*6Ila analipa kimtindo,
anaonyesha ni fundi sana kunako 6x6[/QUOTE]
apo kwenye red umetumia vigezo gani?
Duh! Simba yupo windo anamlia mingo pundamilia kumbe pundamilia nae kajivua gamba, kula kona sasa basi na yeye anaamua kumlia mingo simba! Sipati picha, kama namuona hivi mdada anajiliza baada kukumbuka "kutendwa" huku kila mmoja akimuona mwenzake ndo kaingia king, kumbe ngoma droo!!!Hizi za Kujifanya na wewe umetendwa nishazitumiaga sana kipindi fulani kwenye beach zetu hizi.
Nilikua naendaga kutega mingo ili kutafuta wadada ambao wako singo mitaa ile, akili ilikua ikinituma kua nikimuona mdada peke yake halafu yuko mahali kama beach hivi basi atakua ana stress zake anazipunguzia pale, so nama najifanya na mimi nina stress zangu kumbe nipo mawindoni.
Enzi hizo ukisikia Shark basi Shark kweli, siku hizi kumbe na wanawake nao wapo wa style yangu nao wako mawindoni, halafu ukichanganya na majukumu na umri vimenipiga speed governor.
anhaaa, ndo maana!!! Manake nilikuwa cjapata jibu, kuuumbee!!Kile kuuno cha shaa sio cha kitandani,don't be fooled....mie nimefundishwa unyago tabora najua,kile ni kiuno cha disco wala sio 6*6
Kile kuuno cha shaa sio cha kitandani,don't be fooled....mie nimefundishwa unyago tabora najua,kile ni kiuno cha disco wala sio 6*6
kile kiuno!!! acha masihara kile HATAARIII kabisa kwan kiuno cha 6*6 kinakuwaje?
Master Jay kauvaa mkenge lol