kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,058
- 689
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua
anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema
ila master namuaminia wallah
We nae kila kitu unajua, ulianza na wale fashionists asubuhi na sasa uko na Shaa.
Kwa hivyo hii inamaanisha mtoto anayemtarajia Shaa ni wa Master J ama ndio vipi? Master J Ndiye Babake Mtoto Mtarajiwa Wa Shaa?!? - bkuHABARI
halafu nitamalizia na wewe........
Kwahiyo kaa mbali nae, mali ya MJKwa iyo
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua
anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema
ila master namuaminia wallah
Master Jay kauvaa mkenge lol
Halipi kwako..Duh ila sio siri shaa halipi hana ata nyama kwa nyuma,sura ngumu,mweus kama mpoki
Halipi kwako..
kama ulikuwepo vile kiukweli shaa hana mvuto sura kama nyani ngabu!
Aaaah aaaaah
kama ulikuwepo vile kiukweli shaa hana mvuto sura kama nyani ngabu!
yuko wapi nyani ngabu aje hapa abishe kama hafanani na huyo shaa!
aaaah! nini funguka!
Halipi kwako..
hata wauza magengeni wanakula vi house girls....LoL