Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.

Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.

Muda ni mwalimu mzuri.
 
sijawahi kuiamini Yanga chini ya gsm yaani jamaa wanaendesha timu kama wanavyoendesha biashara zao kijanja janja tu, mara la liga, mara kalinyozi, mara lamine moro, mara jezi za yanga timu inakula elfu moja tu kila wakiiuza! wanayanga watadanganywa kwani wameshageuzwa mazoba!
 
HSC ni genge la wakwepa kodi waliokubuhu enzi za JK
 
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.

Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.

Muda ni mwalimu mzuri.
Sina uhakika kama kweli Yanga SC wamemsajili huyu Mchezaji, ila nawaonea mno Huruma Waandishi wa Magazeti ya Michezo hasa Mwanaspoti na Championi kwa Kuharibu Credibility yao kwa Kusema ameshasajiliwa Yanga SC na ikaja kujulikana kuwa si kweli.
 
hata wanajali basi washabiki wenyewe nao waluwalu tu juzi wamepitisha bajeti ya billions 8 kuendesha klabu ,mashabiki wao wanadai hizo ni za usajili tu ukiwafafanulia unakula matusi, hadi huruma yaani

kambole anadai mshahara dollar elfu kumi makanjanja wa mwanaspoti wanakuambia hiyo pesa (milioni 23)inalipa mishahara ya konde boy,chama na morrsion ukijumlisha pamoja. yaani dah inachekesha sana
 
Leo Maulid Kitenge akisema Yanga Wamesajili Cristiano Ronaldo basi nakuhakikishia Uto wote wanaamini na kuanzisha Nyuzi za kila rangi hapa JF.

Yani Uto wote ni wa kupelekwa Mirembe.
 
Hawa ndiyo washabiki wa Yanga
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Sina uhakika kama kweli Yanga SC wamemsajili huyu Mchezaji, ila nawaonea mno Huruma Waandishi wa Magazeti ya Michezo hasa Mwanaspoti na Championi kwa Kuharibu Credibility yao kwa Kusema ameshasajiliwa Yanga SC na ikaja kujulikana kuwa si kweli.
aisee
 
Ndio wale tuliopata zero olevo, ungejiongeza kwa kuangalia kwenye mtandao wa Transfer Market huu ujinga usingeuweka hapa
 
Back
Top Bottom