Kama ningekuwa na uwezo wa kushawishi, ningeishawishi serikali iingize kozi ya maandishi ya Shaaban Robert katika mtaala wa o level na A level ili vijana wafahamu namna gani SR aliweza kuuona uongozi wa Tanzania ya leo katika miaka ya 1945 kupitia maandishi yake
speaking of kazi za SR, its been a long time sasa natafuta kitabu chochote cha SR kindle edition sijaambulia chochote, hivi kunani nguli mahiri kama huyu kazi zake zinakuwa hazipatikani? tunashindwa hata kuenzi kazi za waandishi wetu?