Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Hawa madogo wanafanyiana sub,kuna mmoja anawika kwa mda halafu mwingine akipata chance anafanyia vizuri,Shabalala alikaa benchi mwanzoni mwa msimu kidogo tumsahau kwa kiwango cha Nkwasi,mara kapewa namba kidogo tunaanza kumsahau Nkwasi.
Ingawa najua Kapombe bado majeruhi.
Ila hawa madogo nani zaidi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa najua Kapombe bado majeruhi.
Ila hawa madogo nani zaidi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app