SHABAN KISU wa TBC

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari wanajf!!

Naomba leo nitoe ya moyoni kuhusu mtangazaji wa Tbc radio na TBC 1.
Toka nimemfahamu kisu ni mtangazaji bashashi sana wa vipindi mbalimbali pale TBC ikiwapo taarifa za habari zote radioni na kwenye Tv
Ni moja kati ya hazina kubwa ya Taifa katika utangazaji....

Hongera sana Shabani kisu.
 
mi napendaga sauti na macho yake tu....wala hata siconcentratigi kwenye habari
 
haa haa haa MAKANJAMNA kuwa mke watu kunahusiana nini na mimi kuyapenda macho yake....kwani nikiyapenda ndio nnakuwa nimeshatembea naye ama?
Dah.. halafu inawezekana wewe ni mke wa mtu..
 
Last edited by a moderator:
yupo open university anachukua degree ya mass com nadhani alikua na cheti tu
 
Tatizo ni chombo anachotangazia. TBC na redio zake toka wamuondoshe Mkurugenzi chapakazi tbc imekuwa totally kigango cha maccm tu. Habar nzuri inayowahusu wananchi ikizungumzwa na mtu wa upinzani haitangazi.
 
so ingekua poa ahamishwe BBC swahili?
 
Tatizo ni chombo anachotangazia. TBC na redio zake toka wamuondoshe Mkurugenzi chapakazi tbc imekuwa totally kigango cha maccm tu. Habar nzuri inayowahusu wananchi ikizungumzwa na mtu wa upinzani haitangazi.

kabisaaaaaaaaaa Mr.Mark
 
haa haa haa MAKANJAMNA kuwa mke watu kunahusiana nini na mimi kuyapenda macho yake....kwani nikiyapenda ndio nnakuwa nimeshatembea naye ama?

Kuna dada alitwangwa talaka baada ya kumsifia Maulid Kitenge kuwa ni HB mbele ya mumewe,watch out
 
ha haa haa. huyo mwanaume naye alikuwa na yake tu, au alikuwa amechoka siku nyngi akawa anatafuta starter. kujisikia vibaya kupo lakini talaka!! ni mbali sana hapo.
Kuna dada alitwangwa talaka baada ya kumsifia Maulid Kitenge kuwa ni HB mbele ya mumewe,watch out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…