Kabila gan huyu jamaa؟‎
Prof SHABAN MLACHA (profesa wa kiswahili) anatajwa kua mtu anaye vuruga chuo kikuu cha dodoma (UDOM). Yeye naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, PESA, na utawala lakin inasemekana ndiye mwenye nguvu zaidi kuliko hata makamu mkuu wa chuo hicho. Anatajwa kua mtu mwenye kiburi, ubabe, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha wahadhiri na wafanyakazi wengi kuhama chuoni hapo kila kukicha. Kiburi chake kinahusishwa na uswahiba wa karibu sana alionao na JK ambapo inasemekana wameoa sehemu moja.!! WADAU MNAOMFAHAMU HUYU MTU MNASEMAJE?
Unampa sifa tele huyu prof mlacha unamjua kiundani wewe?Nenda kawaulize wafanyakazi na wanafunzi wa..........Yote haya atasemwa lakini ukitafuta a Real story, huwezi kuelezea mafanikio ya UDOM bila kumtaja Profesa Mlacha, ana shule ya Sekondari sawa, lakini ungetegemea mtu ambaye ni profesa ashindwe kuwa na shule ya kusaidia wanafunzi wa tanzania au kwa vile tumezoea ma-profesa wetu kusinzia tu pale UDSM na kwingineko..BRAVO MLACHA songa mbele.....
..........Yote haya atasemwa lakini ukitafuta a Real story, huwezi kuelezea mafanikio ya UDOM bila kumtaja Profesa Mlacha, ana shule ya Sekondari sawa, lakini ungetegemea mtu ambaye ni profesa ashindwe kuwa na shule ya kusaidia wanafunzi wa tanzania au kwa vile tumezoea ma-profesa wetu kusinzia tu pale UDSM na kwingineko..BRAVO MLACHA songa mbele.....
Sijasoma udom lakini nimeshasikia sifa ya hako kajamaaa, ni kashenzi mbaya.. Nasikia kanadai anachozidiwa na wanafunzi wa udom na walimu ni umaskini tu.. As yeye ana pesa mbaya