Binafsi nilifuatilia mpambano huu na mpambano ulikuwa ni mzuri na waamuzi wa mpambano huu walikuwa wakweli na hawakumuonea bondia yeyote. Katika pambano hili ni dhahiri kabisa Shabani Kaoneka alishindwa na hata zile pointi zilizokaribiana na mpinzani wake ni pointi za upendeleo. Kaoneka ajitahidi kupigana kwa staili zinazotakiwa kwenye ndondi na siyo kumkumbatia mpinzani wake kila wakati. alidondondoshwa mara mbili na kwenye raundi za mwishoni pumzi ziliimwishia kabisa. Pole sana Kaoneka.