Shabani Kaoneka: Nilitumiwa milioni moja na mtu nisiyemjua

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Mwanamasumbwi aliyewahi kuzichapa na Mandoga na kuibuka na ushindi mzito SHABANI Kaoneka amerekodiwa akiwa Katika mahojiano na clouds TV ambapo amesema Kuna siku alikuwa kachoka Hana hata dinali ya kununua kitunguu huku boss mwenye nyumba akihitaji pesa yake ya kodi ambapo amesema baada ya hapo Kuna kijana alimpigia simu akiwa live kwenye mahojiano akasema anamtumia million moja alipotuma akapotea, yaani anapiga simu inasema namba unayopiga haipo na huyo mtu hakupiga simu tena mpaka Leo na hajui ni nani aliyetuma.

 
Anataka irudisha?
 
Kwa alichokifanya ni kosa na anaweza kushtakiwa maana alitakiwa kurudisha mhamala au kutoa taarifa mamlaka husika.. elimu elimu elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…