DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jun 29, 2025 #1 Shabani Rashidi Said, amechukua fomu ya kuwania udiwani wa Kata ya Bukoba Mjini. Ikumbukwe Ndg. Shabani ndio alikuwa diwani wa kata Bakoba 2020 mpaka 2025.
Shabani Rashidi Said, amechukua fomu ya kuwania udiwani wa Kata ya Bukoba Mjini. Ikumbukwe Ndg. Shabani ndio alikuwa diwani wa kata Bakoba 2020 mpaka 2025.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jun 29, 2025 #2 Jamaa Mwalimu wa Primary Jamia aligombea 2010, 2015 Ila akaja kutoboa Mwaka 2020
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,423 Reaction score 3,270 Jun 29, 2025 #3 DR HAYA LAND said: Jamaa Mwalimu wa Primary Jamia aligombea 2010, 2015 Ila akaja kutoboa Mwaka 2020 Click to expand... Hakutoboa sema alitoboleshwa na Meko
DR HAYA LAND said: Jamaa Mwalimu wa Primary Jamia aligombea 2010, 2015 Ila akaja kutoboa Mwaka 2020 Click to expand... Hakutoboa sema alitoboleshwa na Meko
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jun 29, 2025 #4 msukuma fekero said: Hakutoboa sema alitoboleshwa na Meko Click to expand... Yes Samir Classmate wangu alikuwa ACT alimgaragaza vibaya Sana huyo jamaa ila uchaguzi haukuwa huru
msukuma fekero said: Hakutoboa sema alitoboleshwa na Meko Click to expand... Yes Samir Classmate wangu alikuwa ACT alimgaragaza vibaya Sana huyo jamaa ila uchaguzi haukuwa huru
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #5 Sawa sawa