Kwa sasa huwezi acha kuhitaji dola mafuta utanunuaje? Bidhaa za nje utanunuaje na ndani hatuzalishi? Makandarasi utawalipaje?Watanzania hatuhitaji dola, haya ndio madhara ya kuwa na viongozi wasiojuwa mahitaji ya Watanzania ni nini.
Kwa sasa huwezi acha kuhitaji dola mafuta utanunuaje? Bidhaa za nje utanunuaje na ndani hatuzalishi? Makandarasi utawalipaje?
Mafuta yanatumika kufanya uzalishaji ambao unachochea kupata dola. Huo ni mzunguko wa kiuchumi ndio kanuni hiyo.ukishapata hiyoo dola ukanunua mafuta dola ikatoka utakopa tena upate dola?
mafuta yananunuliwa kwa dola, yanauzwa kwa tsh. mkopo wenyewe utakao kopa utarejesha kwa dola.
Kwa nini ndani hatuzalishi?Kwa sasa huwezi acha kuhitaji dola mafuta utanunuaje? Bidhaa za nje utanunuaje na ndani hatuzalishi? Makandarasi utawalipaje?
Uzalishaji wa nini? Mbege?!!Mafuta yanatumika kufanya uzalishaji ambao unachochea kupata dola. Huo ni mzunguko wa kiuchumi ndio kanuni hiyo.
Kama hauna maliasili au technolojia utazalishaje?Kwa nini ndani hatuzalishi?
Kama mbege inapikwa na petroli na kuuzwa kwa dola nje ya nchi sawa.Uzalishaji wa nini? Mbege?!!
ivi vinauzwaga njee kwa dollar siku zoteIwe mwendo, wanatupa mafuta .. tunawapa gold.. au silver.. turudi enzi za ( barter trade ).
ivi vinauzwaga njee kwa dollar siku zoteIwe mwendo, wanatupa mafuta .. tunawapa gold.. au silver.. turudi enzi za ( barter trade ).
madini bado tunayo.. huko tunapo enda kuna nchi zitaanza kufanya barter tradeivi vinauzwaga njee kwa dollar siku zote
Huwezi kuzuia international trade, kwa sababu TZ hatuna kila kitu, vipo vitu lazima tukubali tutavipata Toka nje.Kama hauna maliasili au technolojia utazalishaje?
Anadhani kuendesha nchi ni kama kuendesha Basi la Dar to MoroAhmed Shabiby ameitaka Serikali kutafuta dola bila kujali watu watasema nini, Shabibi amesema ingekuwa ni yeye angekopa dola bilioni moja kukabiliana na uhaba wa dola nchini na kuziingiza kwenye mzunguko. Shabiby amesema dola bilioni moja ni kitu kidogo sana kwa Serikali kwani inakusanya trilioni 2.
Shabiby amesema Serikali inatakiwa ikiamua kitu imeamua kwasababu inao wataalam wa kutosha na isisikilize maneno ya nje yanayosemwa na watu kuhusu kukopa.