Shabiby Bus boresheni huduma zenu

Dereva ndio Shabiby, mfanyakazi wa kampuni akivurunda ni kampuni imevurunda
anayechagua wapi abiria wakale ni dereva(wa kwanza) na anapata kamisheni huko, kampuni haihusiki
 
Huaga najiuliza mtu nana fleet ya zaid ya bus 20 kwa siku kwa njia moja why asifungue kitu buses zake zote zikasimama hapo abiria waka hudumiwa hapo kwa malipo kama amefanya ABC pale Cate hotel Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…