AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Kwa hapa Tanzania hali ingekuwa kama hivi,Jamaa angekuwa yupo jela sasa,lakini kwa wenzetu huko hali imekuwa muswano na furaha zaidi tazama hapo video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kama wanaanana kweli yani,yani duniani wawili wawili mkuuKama wanafanana
tena na jinsi hawa walinzi wetu wanavyopenda ujiko,angepigwa hadharani bila kujali utu wakeAngekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo.