AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,659 Reaction score 2,827 Sep 24, 2016 #1 Kwa hapa Tanzania hali ingekuwa kama hivi,Jamaa angekuwa yupo jela sasa,lakini kwa wenzetu huko hali imekuwa muswano na furaha zaidi tazama hapo video
Kwa hapa Tanzania hali ingekuwa kama hivi,Jamaa angekuwa yupo jela sasa,lakini kwa wenzetu huko hali imekuwa muswano na furaha zaidi tazama hapo video
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Sep 24, 2016 #2 Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Sep 24, 2016 #3 Kama wanafanana
AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,659 Reaction score 2,827 Sep 25, 2016 Thread starter #4 Papushikashi said: Kama wanafanana Click to expand... sio kama wanaanana kweli yani,yani duniani wawili wawili mkuu
Papushikashi said: Kama wanafanana Click to expand... sio kama wanaanana kweli yani,yani duniani wawili wawili mkuu
AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,659 Reaction score 2,827 Sep 25, 2016 Thread starter #5 Guasa Amboni said: Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo. Click to expand... tena na jinsi hawa walinzi wetu wanavyopenda ujiko,angepigwa hadharani bila kujali utu wake
Guasa Amboni said: Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo. Click to expand... tena na jinsi hawa walinzi wetu wanavyopenda ujiko,angepigwa hadharani bila kujali utu wake