Shabiki amtolea povu Mo Dewji

Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.

Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.

Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.

Poor Dewji
 
Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao

Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mzee baba kapanick vibaya mnooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…