Shabiki amtolea povu Mo Dewji

Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.

Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.

Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.

Poor Dewji
Wakina nani wachukie bidhaa zake?

Mbona diamond hawachukii nyimbo zake?

Watanzania hampendi mtu aishi maisha yake hapo katania ila mtu kapovukwa.
 
Wakina nani wachukie bidhaa zake?

Mbona diamond hawachukii nyimbo zake?

Watanzania hampendi mtu aishi maisha yake hapo katania ila mtu kapovukwa.
Mo na Diamond ni kama sungura na tembo. Kwa Mo huyo diamond ni kapuku mwenzetu tu
 
Yaani kwa wastaarabu watakua wamemuelewa sana Mo.
na sisi makapuku tumemuelewa huyo mwenzetu maana amemfanya Mo aonekane mstaarabu a.k.a amemrudisha njia kuu ajue status yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…