Tulishakataza kumtaja hyo mtu!Hapana makonda aliamuru aachiwe palepale uwanjani
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kwani anatakiwa kufungwa???Aka nyee debe sasa. Analeta utani kazini?
Kama Messi, Ronaldo nk walikumbatiwa huko Ulaya kwenye tight security sembuse bongo?! Kawaida tu hiyo, hakuna la ajabu.Kazi kweli kweli, angekuwa na kitu chenye ncha Kali je? We are not serious at all
Mie nipogo kila kona ya jfHahaa ...
Upo humu
Yupi ?Tulishakataza kumtaja hyo mtu!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sina shida ya kuja huko fishing villagHko kwenu mtabakia kuona kwenye tv tu poleni
Ova