simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21(kajiado kenya) amefariki kwa mshituko punde baada manU kufunga bao la kwanza.Citizen TV Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du kaaazi kwelikweli, BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
ManU atwaa
Ushabiki mwingine bana!
Niukweli uliyosema katavi sio kenya tu hata hapa tz watu wanapigana vyupa na kutoana ngeu kisa mpira wakati Drogba na na Nani wakimaliza 90min wanapeana mikono kwa tabasam..Ushabiki mwingine bana!
Niukweli uliyosema katavi sio kenya tu hata hapa tz watu wanapigana vyupa na kutoana ngeu kisa mpira wakati Drogba na na Nani wakimaliza 90min wanapeana mikono kwa tabasam..