Shabiki chelsea afariki kwa mshituko

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21(kajiado kenya) amefariki kwa mshituko punde baada manU kufunga bao la kwanza.Citizen TV Kenya.
 
du kaaazi kwelikweli, BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
Ni binti tena mdogo tu ni kama aliwekeana dau na jamaa, alikuwa anatokea sehemu moja nje kidogo ya nairobi inaitwa Rongai!
 
Ushabiki mwingine bana!
Niukweli uliyosema katavi sio kenya tu hata hapa tz watu wanapigana vyupa na kutoana ngeu kisa mpira wakati Drogba na na Nani wakimaliza 90min wanapeana mikono kwa tabasam..
 
Alikua anatafuta sababu ya kufa yaani mahaba na timu hadi kifo? R.I.P
 
Niukweli uliyosema katavi sio kenya tu hata hapa tz watu wanapigana vyupa na kutoana ngeu kisa mpira wakati Drogba na na Nani wakimaliza 90min wanapeana mikono kwa tabasam..

kuna jamaa yetu mmoja wakati tunasoma ilikuwa timu anayoshabikia ikifungwa hata 'prepo' anajawa na hasira tu, ukimsemesha atakujibu vibaya mpaka utashangaa!!!! jamani ushabiki......!!!!!!!
 
Ushabiki wa kishamba huo..mbona wazungu wenyewe wako fuleshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…