Shabiki chelsea afariki kwa mshituko

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21 (Kajiado - Kenya) amefariki kwa mshituko punde baada Man U kufunga bao la kwanza.

RIP Tabitha

Chanzo: Citizen TV Kenya
 
Tuwe mashabiki lakini si wenye hisia kali kama huyu. R.I.P Tabitha
 
Chelsea wamepata pigo la kuondokewa na shabiki wao kipenzi

Poleni mashabiki wa ze Bluuuuuuuuuuuues
 
RIP huko, Kenya kuna mambo. Hivi Mungiki Brother sijamuona tangu aliporejea Kibera baada ya kipigo cha mwanzo pale kwenye cowshed, labda Peasant anaweza kutusaidia kutueleza kama yupo mzima. Its just a game damn it!
 
mmmmmm kenya kuna mambo, mnamkumbuka yule wa arsenal??????
 
Mungu amlaze mahali pema peponi.

“After Manchester United scored the first goal, she simply said, ‘United will win this match’ and then took three deep breaths before falling down,” her mother told Citizen TV.
“She died on the way as we rushed her to hospital. She was shocked because she never expected Manchester United to win.”

http://www.exbii.com/showthread.php?p=28473921
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…