Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Shabiki wa Yanga Mkoani Geita ndugu Hussein Makubi ametoa zawadi ya Ng'ombe wa tano kwa timu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba goli tano kwa moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana njaa kama wewe anao ng'ombe zaidi ya 500.Tunatarajia Yanga imsaidie kifedha pale atakapotaka msaada huku zizi likiwa limebaki na kama za kufungia ng'ombe tu.
Tuwaone asije akatutumia kupata umaarufuShabiki wa Yanga Mkoani Geita ndugu Hussein Makubi ametoa zawadi ya Ng'ombe wa tano kwa timu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba goli tano kwa moja.
Wasukuma wana roho yao sanaShabiki wa Yanga Mkoani Geita ndugu Hussein Makubi ametoa zawadi ya Ng'ombe wa tano kwa timu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba goli tano kwa moja.
Punguza hasira kwenye mali za watuTunatarajia Yanga imsaidie kifedha pale atakapotaka msaada huku zizi likiwa limebaki na kama za kufungia ng'ombe tu.
Shabiki wa Yanga Mkoani Geita ndugu Hussein Makubi ametoa zawadi ya Ng'ombe wa tano kwa timu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba goli tano kwa moja.
PoleniKuna kafa jirani kabisa na hapa nilipo, nae ni shabiki wa yanga eneo alilochomwa kisu walikufa 3,, hii mipira iwe na kiasi jamani[emoji26]kaacha kichanga
Mpo kushangilia ila kuna wanaolaani na kuomboleza nao muwakumbuke
Asante kwa niaba ya familiaPoleni
Mkuu mtu kajitoa Kwa mapenzi yake Kwa timu yake imekuwa nongwa?Tunatarajia Yanga imsaidie kifedha pale atakapotaka msaada huku zizi likiwa limebaki na kama za kufungia ng'ombe tu.