Shabiki Geita awapa Yanga Ng'ombe wa tano

VIVA YANGA [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
 
Tunatarajia Yanga imsaidie kifedha pale atakapotaka msaada huku zizi likiwa limebaki na kama za kufungia ng'ombe tu.
 
Kuna kafa jirani kabisa na hapa nilipo, nae ni shabiki wa yanga eneo alilochomwa kisu walikufa 3,, hii mipira iwe na kiasi jamani😄kaacha kichanga

Mpo kushangilia ila kuna wanaolaani na kuomboleza nao muwakumbuke
 
Kuna kafa jirani kabisa na hapa nilipo, nae ni shabiki wa yanga eneo alilochomwa kisu walikufa 3,, hii mipira iwe na kiasi jamani[emoji26]kaacha kichanga

Mpo kushangilia ila kuna wanaolaani na kuomboleza nao muwakumbuke
Poleni
 
Kuna Tetesi mama naye ametoa kila goli mil1 kwahiyo anawapa 5mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…