Shabiki huyu kanichosha khaaa....

Shabiki huyu kanichosha khaaa....

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Nilikuwa naangalia game kati ya Ureno na Uholanzi ambayo imeisha kwa Ureno kufungwa tatu bila.

Sasa baadae akaja jamaa mmoja akakaa karibu nami (wakati huo Ureno washakufa 3 na mimi ndio timu yangu) akaniuliza Itali wanacheza? Nikamjibu hapana ni Uholanzi na Ureno,akasema ahaa.

Mara Ronaldo akapumzishwa na nafasi yake kuchukuliwa na Moutinho,sasa huyu shabiki akawa ametamka Coutinho kisha akasema Ureno Brazil zimepakana(hapa nikajisemea moyoni labda kaona majina yanataka kufanana japo yeye aliona yamefanana ndio maana kasema hizi nchi zimepakana)kuhusu location akanifanya nikachoka mwenzenu.

Aliponichosha zaidi ni pale aliponiambia kuwa hizi nchi zote zinatoka bara la Asia,hapa sasa ndio nilitamani hata kuondoka khaaaa.(Lakini nikajiuliza ama pengine continental drifting imefanyika tena ila mimi ndio sijui?

Wakati mimi najua Brazil iko bara la A.Kusini na Ureno ipo Ulaya.
 
Hapa nabebana na ozil dam dam
Af Argentina na Spain hapa siwapend
Wote cha msingi waende draw
Agentina na Brazil siwapendi hata chembe,wote wakufe nyingi tuu.
 
duh af huyo jamaa naweza kuotea hata chama chake lazima kitauwa...............................................
 
Back
Top Bottom