Shabiki Kindakindaki wa Al Hilal, leo tupo Uwanjani

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Tupo uwanjani leo shabiki kindakindaki wa Al hilal toka nizaliwe mm al hilal damu🔥🔥🔥
Forza Al HILAL


Hat trick habib thalantha bin thiful
نيتيوويوؤويتيتيتيتmwamnyeto🐸🐸🐸
Tanzania tunaiogopa SIMBA tu wengine wote GENGE la wahuni

UBUNTU BOTHO
PRIDE TABORA
 
Mbona haukuniambia mapema ndugu yangu?Siyo vema hata kidogo.Tupo pamoja!🙏
 
Wanafungwa hao Hilal ingawaje umeandika vitu vingi sehemu moja Yanga sasa hivi anasumbuana na Watawala wao kutoka Misri sio hao Sudan waarabu weusi..
 
Ahhlaaaaah kumbeee kwanini lakini kuwatenda hivyo wenzenuu baaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…