Shabiki: Simba ikishinda nitolewe vidole

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Shabiki wa Yanga aliyejitambulisha kwa jina la Baba Rabiyat ametoa ahadi ya kupunguzwa idadi ya vidole kwenye mkono wake wa kulia endapo Simba itashinda mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly!

Source: Clouds Media

Makolo na mtasema[emoji23]
 
Shabiki wa Yanga aliyejitambulisha kwa jina la Baba Rabiyat ametoa ahadi ya kupunguzwa idadi ya vidole kwenye mkono wake wa kulia endapo Simba itashinda mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly!

Source: Clouds Media

Makolo na mtasema[emoji2ye

Duh!!
 
Kolo mnakula 5_ 0
Kiklio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! naona klinaendelea na sjui mwiusho wake ni wapi!! Hivi huwa unajisikiaje dua yako mbaya kwa simba inapokuwa haifankiwi kama iliposhindwa kufanikiwa kwenye mechi ile ya kwanza!! Mwenzio Nalia Ngwena anaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…