Shabiki wa Diamond amvamia Alikiba na kumpatia penseli yake

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
5,987
Reaction score
6,682
Natumai mu wazaima wa Afya..

Hili ni tukio lilitokea leo katika mkutano wa alikiba aliokuwa akiongea na waandishi wa habari,

Kama umekuwa ukifuatilia katika mitandao ya kijamii, kijana huyu ame- trend siku za hivi karibuni baada ya kukumbatiwa na diamondplatnuz siku ya tamasha la jama festival lililofanyika katika uwanja wa taifa, mara baada ya tukio hilo bwana mdogo huyu aliweza kukaa majuma kadhaa pasipo kuoga wala kubadili nguo&viatu vyake hata wakati wa kulala..
Basi bwana mdogo katika hali isiyokuwa ya yakawaida leo tena kajitokeza katika shughuli ya ali, nae Ali pasipo hiyana akamruhusu azungumze dukuduku lake la moyoni japo kuna baadhi ya watu walimzuia kijana huyu...bwanadogo huyu alianza kwa kusema nanukuu "me nishabiki wa diamondplatnuz na napenda sana amani, juzi nilibahatika kupita katika ukurasa wako wa insta na kukuta ukiwa umelaumu kuhusu kuibiwa pencil yako, sasa basi kwa kuwa napenda muwe na amani nimeamua kukuletea pencil yako ili kuwepo na amani baina yenu.." Mwisho wa kunukuu..

Bwana mdogo huyu aliemalizia kauli yake kwa kumpatia alieibiwa pencil yake, japo alirudishiwa pencil yake mara baada ya alikiba kumfafanulia maana kamili ya pencil aliyokuwa akimaanisha!!

 
Sasa mbn sikacheka
 
Mbona alikiba kashindwa kujieleza kuhusu hiyo penseli, alikuwa anaongea anatetemeka kama vile hajiamin anachoongea aisee,au mm pekee yangu ndo nomeoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Harmonize anaconfidence kumzid huyu kibamia
 
Mbona alikiba kashindwa kujieleza kuhusu hiyo penseli, alikuwa anaongea anatetemeka kama vile hajiamin anachoongea aisee,au mm pekee yangu ndo nomeoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Harmonize anaconfidence kumzid huyu kibamia
kaongea kwa hofu sana mpaka, kamtaja diamondplatnuz kuwa ni msanii anaiwakilisha Tanzania kimataifa, kasahau kujitaja mwenyewe..ama yeye sio msanii jamani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
 
Ukweli usemwe, alikiba hawezi kujielezea kabisa kwenye press ni bora awe na msemaji wake kwa kweli ni aibu sana. Pia facial expression yake inaonyesha kabisa jamaa alikua na hasira hadi kutetemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…