Shabiki wa Diamond amvamia Alikiba na kumpatia penseli yake

Vp mkuu unaweza kutuwekea na nukuu ya kiba alijibu nini juu ya penseli..
Binafs cjaiona/kuickia hyo press
 
hatukujifunza na ya Mwinyi kupigwa kibao

the accoster had no business being allowed to walk that close to the podium

typical Ali Kiba's handlers, can't control anything...
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dunia ina vituko sana.
 
kaongea kwa hofu sana mpaka, kamtaja diamondplatnuz kuwa ni msanii anaiwakilisha Tanzania kimataifa, kasahau kujitaja mwenyewe..ama yeye sio msanii jamani[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo clip iko wapi?
 
Afadhari uzi ulikuwa unaelekea kunoga me nilitaka nijue maana ya penseli ya Alikiba iliyoibiwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Numbisa alikuwa anacheza na wahuni babaako.
Hajui humu sisi nyumbani hatujawahi kupotea
 
Kiki tu ile kijana alipangwa na Kiba mwenyewe.Jiulize alijuaje Kiba kamaliza kuongea mana baada Ya Dogo kujitokeza na kupewa nafasi ndipo Kiba alimaliza press.Ilipangwa Ili waandishi wasipate nafasi Ya kumuuliza tena Ishu Ya penseli.Dogo Ni mtu wao coz mpaka anaingia conference room manake Alikua na access Ya kuingia ndani.Ni ngumu sana from no where kuingia hotel kubwa kama Ramada.Kiba utawadanganya hao hao.
 
Bro Ramada ni nini akilini mwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…