Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kenya kumejaa mipunga na micheleWanaume wa Nairobi hao. Ndio dada zao wameamua kula chumvi zao wenyewe.
Kenya wanaume ni wachache mnoWanaume wa Nairobi hao. Ndio dada zao wameamua kula chumvi zao wenyewe.
Zisi izi tumachi kwakweliHata kama ni kumfurahisha Shabiki haipaswi kuwa kwa kiwango hicho.
Mimi nimeona mwanaume mmoja kamkamata suruali anamvuta ili ageuke kama Diamond ili aone kama na yeye anawwza kutingisha makalio kama mwenzake. Waliobaki wote ni wanawake hapo.Wanaume wa Nairobi hao. Ndio dada zao wameamua kula chumvi zao wenyewe.
Ameniacha mdomo wazi WallahHata kama ni kumfurahisha Shabiki haipaswi kuwa kwa kiwango hicho.