Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
12,823
Reaction score
21,210
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC.

Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City FC ilipocheza dhidi ya Tottenham FC wameahamua kumpa jina jipya la utani mchezi Kun Aguero.

Wanamuita 'Badger' wakimfananisha na myama 'Honey Badger' kutokana na mtindo wake wa nywele vile alivyonyoa na kuweka 'breach' sehemu ya kiduku chake kwa juu.

Angalia chini picha za mnyama badger na Aguero kisha toa maoni yako kaba shabiki wa Liverpool wamepatia.

 
usifananishe liver na takataka zingine.
Mkuu sijafananisha Liver na kitu au mtu yeyote.

Shabiki wa damu wa Liver wamemfananisha Aguero na mnyama honey badger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…