Shabiki wa Simba afariki dunia baada ya Mgalu kukosa penati dhidi ya Tanzania Prisons

Mjinga sana huyu mzee,hao Sumba wanamjua?badala ya kuhangaikia majimaji ana kufa kwa ujinga.Narudia,marehemu ni mjinga
 
"ameacha wanawake 3,watoto 17 wakiwa wanawake 9 na watoto wa kiume 8."


Nikiwa mkubwa nataka niwe kama mzee
 
Msiwe mnatazama mpira kama mna tatizo la kutoka jasho jingi, tulia nyumbani hata radio usisikilize ujiepushe na majanga yanayozuilika.
 
Poleni sana kwa wafiwa..........mikia acheni kwenda na matokeo viwanjani mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…