Shabiki wa Simba hakikisha unavaa SANDA yako tarehe 8

Shabiki wa Simba hakikisha unavaa SANDA yako tarehe 8

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii.

Kwa kulitambua hilo, maboss wameandaa sanda kwa kila shabiki na mwana chama ili kupunguza gharama za mazishi.

Huu ubunifu uonekane kwenye ripoti ya mafanikio msimu ujao.
 
Back
Top Bottom