Shabiki wa Simba una nini cha kumshauri Robertinyo kuelekea mechi dhidi ya Azam FC

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Hakuna shaka Simba anahitaji kushinda leo dhidi ya Azam ili kuendelea kubaki kwenye mbio za ubingwa. Lakini hapohapo Jumamosi ijayo anamchezo muhimu sana dhidi ya Vipers. Kwenye Champions league, endapo atatoa sare au kufungwa dhidi ya Vipers atakuwa kapoteza matumaini ya kusonga mbele kwa kiasi kikubwa.

Hapa ndipo unapoibuka utata kwamba km kocha akiamua kupanga full mkoko kuna ishu ya majeruhi.Akisema apange wachezaji ambao huwa hawapati "playing time" kuna uwezekano timu ikafungwa. Je akifungwa mashabiki watamuelewa? Mboga moto ugali moto.

Km shabiki na mpenzi wa Simba una nini cha kumshauri kocha na benchi lake la ufundi ili aambulie kitu katika mchezo wa leo bila kuathiri mchezo wa Jumamosi?

Karibuni.
 
Cjaribw na cshauriw in jiwes voice
 
ashughulike na leo, kesho itajihangaikia yenyewe
 
Nenda Simba Nenda sisi zetu Dua .
Mimi wakufunge wakuue nitabaki kuwa mnyama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…