Shabiki wa Yanga aangua kilio baada ya kuliwa pesa za Mtaji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Shabiki mfia Yanga anayekwenda kwa jina la Kanjunju mkazi wa Jangwani aliangua kilio baada ya mechi ya Simba na Yanga. Kanjunju aliliwa pesa ya mtaji shilingi 50,000 kutokana na kupinga na wenzake kwamba Yanga itashinda. Kwa bahati mbaya Kanjunju alikuwa amepinga hela ya mtaji wa biashara yake ya nguo. Mbele ya waandishi wa habari Kanjunju alilia kwa uchungu kupoteza pesa yake. Majina kamili ya mnazi huyo ni Kanjunju John.

MY TAKE
Yanga mtazameni kijana huyu kwa jicho la uchungu kwa kumrejeshea elfu 50 yake
c.c Mwigulu Nchemba
 
Aende akalime...aache upuuzi wake..pia Kwa hiyo yanga isaidie wangapi?hiyo n sawa na kubet ...so wanaobet wote wakiliwa yanga iwasaidie kwakua tu wamebet kuipa ushnd yanga....Tamaa mbaya..aache ubashitoto
 
Jana premier bet walimpa yanga od 2.
Na akaja kutoa draw
 
Ujinga ni mzigo, ubet wewe halaf anayecheza mpira mwingine, ukiliwa uanze kulia
 
Shabiki mfia Yanga anayekwenda kwa jina la Kanjunju mkazi wa Jangwani aliangua kilio baada ya mechi ya Simba na Yanga. Kanjunju aliliwa pesa ya mtaji shilingi 50,000 kutokana na kupinga na wenzake kwamba Yanga itashinda. Kwa bahati mbaya Kanjunju alikuwa amepinga hela ya mtaji wa biashara yake ya nguo. Mbele ya waandishi wa habari Kanjunju alilia kwa uchungu kupoteza pesa yake. Majina kamili ya mnazi huyo ni Kanjunju John.

MY TAKE
Yanga mtazameni kijana huyu kwa jicho la uchungu kwa kumrejeshea elfu 50 yake
c.c Mwigulu Nchemba

Ila naye ana moyo , hivi yanga hii ni ya kuiwekea kamari hela ya mtaji wa mahindi ya kuchoma ?
 
mwambieni simba sio ya kuifananisha na mambo ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom