Kwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
[emoji23][emoji28]Hapa tunataka tujadili kitu ambacho ni muhimu unaleta ujinga wako usio na kikomo?
Babu yako wa kamboKwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
Kwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
Huyu ambae aliambiwa aongeze juhudi kwenye mazoezi na kupiga diko heavy matokeo yake akaja kuongeza mke
Nipo mzee habari za siku kadhaa.
Umeelewa ulichojibu?
hivi ajibu ana umri gani? huko simba tu hapati namba sembuse huko ulaya, huyu ni sawa na sanchez wa arsenal
Ulaya waende wachezaji ambao hawajacheza VPL..under 20
kuna binamu yake mkomao kishenzi anacheza stakishari anajua ila kazeeka.Kwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
Mbeba hirizi maarufu. Zaidi ya hapo hana jipya
Ajibu, si umeona amesema Samata kawafungulia njia na hakuna kufeliKwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
Unajua ulichojibu?Ajibu, si umeona amesema Samata kawafungulia njia na hakuna kufeli
Anaupiga mwingi?Azam Fc washamtoa EVANCE TEPSIE kwenda Academy ya Fc Nantes ya France, lengo akifikisha 18 acheze Fc Nantes!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke timu ya wananchi akakomaeYupo wa kwangu anacheza Afrika Kusini. Ana nidhamu ya hali ya juu. Imagine ameenda hana anayemjua na ameweza kuishi miaka 4 bila kukata tamaa na kujiunga na makundi ya kihuni. Focus yake ni soka tu.
Kapombe si aliwahi kwenda Nantes akarudi mbioAzam Fc washamtoa EVANCE TEPSIE kwenda Academy ya Fc Nantes ya France, lengo akifikisha 18 acheze Fc Nantes!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga walipotaka kumsajili Kichuya hata sikuwaunga mkono lakini kwa Bernad Morrison thumb sana!