Shaffi Dauda kuwa makini

Kwa sasa siwaoni.. Labda wabadirike mara 4 hv tabia na kupanda kiwango(WAJITAMBUE)
 
Huyo dogo na wenzake wa3 (Ngorongoro Heroes) walifaulu majaribio yaloendeshwa na WAKALA WA FIFA - Kambi Seif, hivo kaondoka nao wote wa4! Dogo anaupiga mwingi sana!

Paul Peter yupo senior team Azam Fc na akina Oscar Masai, Bryson Raphael
Anaupiga mwingi?
Hivi Paul Peter wa Azam Yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Ajib hana maono wala sio mvumilivu isitoshe hapendi mazoezi magumu. Ajibu angekuwa anajua thamani ya miguu yake na kipaji chake sasa hivi tungekuwa tunazungumzia Tanzania kuwa na wachezaji wawili ligi kubwa za ulaya badala ya sasa hivi tunazungumzia mchezaji mmoja tu Samata.
 
Nimemchek mtandaoni ,ila Paul hachezi kabisa,nimeangalia almost 80 ya game za Azam this season na sijaona akicheza.
Oscar yupo poa anaweza kuwa replacement nzuri ya Elcapitano Aggrey Moris
 
Yupo wa kwangu anacheza Afrika Kusini. Ana nidhamu ya hali ya juu. Imagine ameenda hana anayemjua na ameweza kuishi miaka 4 bila kukata tamaa na kujiunga na makundi ya kihuni. Focus yake ni soka tu.
Yuko ktk academy au?

MTC | 101| [emoji769]
 
Sio kwamba wa naenda kwa zamu, kaanza mmoja then wengine wanafuata

MTC | 101| [emoji769]
 
Tuseme Basi wachezaji wa kitanzania hawajielewi ... Ila mbona samata katoka katika kundi la hao wasiojielewa ???....


Kwa samata kutokea katika kundi Hilo wanaweza kutokea wachezaji wengine pia .... Sema tunachokosea tunataka mchezaji afuate mtiririko ule ule wa samata . Haitakuja kuwa hivyo ... Samata ni mmoja tu Kama ulivyo wewe na Mimi ..

Suala la Pombe , kupenda ngono na tabia zingine mbovu ni tabia binafsi na hazihusiani na Taifa zima ndio maana samata katoka ... Kutoka kwa samata ni ushahidi tosha na wengine wapo ... Mchele ukiwa na mchanga hatuumwagi. Tunauchambua tupate Mchele Bora ...Hata TP mazembe walivyokuja walimchagua samata Licha ya kuwepo wachezaji wengine wengi.


Hakuna taifa dunian linalokosa wachezaji wenye hizo sifa za ulevi, ngono, uvivu na ukorofi... John Tery alitemwa team ya taifa kwa scandal ya ngono .... Mario Balotel utukutu wake ulimtoa Man city .... Tunaona wachezaji wanapigwa faini kwa ulevi huko ulaya.



Lakini pia tunaweza tusielekeze nguvu Sana kwa wachezaji ambao wameshakuwa matured ila tupeleke vijana wa miaka 10-17 kutoka team za vijana ili wakatemgenezwe huko , baada ya miaka mitano tutakuwa na wachezaji wazuri Sana .... Kwa namna yoyote hili gape la samata kucheza EPL lisichezewe maana samata akitoka pale EPL hatujapeleka vijana wengine walau watano kwenye ligi kubwa za Bundesliga, La Liga, Seria A au Ligue 1 itatuchukua karne zingine ....


Muda mwingine Mungu humuinua mtu mmoja awe njia ya wengine ... Samata kainuliwa ... Tunaona Kelvin Mbape Yuko London na dili la kutimkia Genk linawadia Tena kwa jitihada za Samata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa post hii inaonyesha muandishi si mfuatiliaji wa mpira bali ni mtazamaji wa mechi za simba na yanga .Tz kuna wachezaji wazuri sana wapo sema tu huwez kuwajua kwakuwa hufatilii ligi ya vpl au km unaangalia basi ni wachezaji wa magazeti na redio wa simba na yanga ila kuna timu zisizo tajwa kuna vijana wanajituma ni media tu hazija wamulika au labda niseme muda wao bado ila km wanapata mazingira mazuri ni wachezaji wazuri mm naanza na hawa wafuatao

Idd kipagwile azam
Aly ramadhan kagawa kagera sugar
Isa abushee coastal union
Bryson raphael azam
Sabilo polisi tz
Majogoro baraka polis tz
Omar salim coastal union
Kiungo no 6 wa biashara
Jafary kibaya mtibwa
Frank zakaria singida
Mo bank yanga
Sheva miraj simba
Nondo mwanyeto
Shaban kasim tiote sahare all stars
Oscar masai azam
Abdala mfuko kmc
Kwa uchache hawa wanafaa kwenda kutafuta life huko kwa wenzetu
 
Nimepita Mahenge na Malinyi mwaka jana mwishoni. Kulikua na ligi huko nimeona vipaji vya ajabu ila ndio hivyo tunaamini vipaji vya Dar tu kwenye chipsi yai na majimama.
 
Umri wake , huyo mtafutie timu ya juu zaidi ,apande ligi ya juu

MTC | 101| [emoji769]
Ndiyo nahangaika kuwaona wadau. Ana miaka 24..ila tunaweza chakachua 😃. Ila ligi ikiisha kuna uwezekano mkubwa sana kwenda Ujerumani au kucheza ligi kuu hapohapo Sauzi. Wanamkubali sana. Ana uwezo na anafanya mazoezi makali mno..na hana starehe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…