Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Dah, kuna jamaa angu mmoja yuko sofapaka Kenya huwa anafanya scouting ,muda hatujawasilianaNdiyo nahangaika kuwaona wadau. Ana miaka 24..ila tunaweza chakachua [emoji2]
Ni kweli mkuu,Samatta ana nidhamu sana ya kazi,Dauda asije kuwapa wazungu wachezaji wenye vijitabia kama vya TOLU "Hashimu Sabiti" ikatuharibia sifa.Nimesikia wazungu wamekutafuta uwape details kuhusu Mbwana Samatta. Na wewe ukaahidi utawaambia kuwa tunao wachezaji aina ya Samatta wengi.
Sina tatizo kabisa na details za Samatta. Sina shida na kuwatangaza vijana wote wenye uwezo kama wa Samata ambao naamini wapo. Tatizo langu, ni je wana thamani ya Samatta?
Maana tuna tamaduni mbaya sana ambazo zimeathiri sana tabia, mitizamo, na maono yetu juu ya mambo muhimu kwenye maisha. Tuna wachezaji wasiojituma, walevi, malaya na wasio na maono.
Wengi wakishadajiliwa Yanga na Simba au Azam wanaona wamefika. Hawajipi muda wa ziada wa mazoezi, hawajitunzi afya zao, kwa ujumla hawana nidhamu.
Watu kama hao, ukiwatambulisha kwa wazungu, wakaenda na tabia za uswahili Swahili, watakuwa kikwazo kwa vijana wengine kama Mbwana Samatta watakaotokea baadae. Kwa sasa sijawaona. Wengi wana ujinga ujinga mwingi tu. Wanacheza kama vile ni mastar wa dunia, kumbe wako Yanga tu au Simba.
Inabidi kuwe na jitihada za maksudi za kubadilisha tamaduni zetu kama kutothamini kazi, kutojali muda, kupenda starehe kuliko kazi, kusema uongo, kutokuwa wavumilivu (tunakata tamaa mapema) tofauti na wazungu utaona zimebaki dakika 2 ila wanaforce hadi wanapata goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul peter hyo Dogo namjua vizuri Ila dzain naona km kaisharidhika vile!Huyo dogo na wenzake wa3 (Ngorongoro Heroes) walifaulu majaribio yaloendeshwa na WAKALA WA FIFA - Kambi Seif, hivo kaondoka nao wote wa4! Dogo anaupiga mwingi sana!
Paul Peter yupo senior team Azam Fc na akina Oscar Masai, Bryson Raphael
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hamna labda Kelvin ba msuva
Thabeet amejitahidi sanaNi kweli mkuu,Samatta ana nidhamu sana ya kazi,Dauda asije kuwapa wazungu wachezaji wenye vijitabia kama vya TOLU "Hashimu Sabiti" ikatuharibia sifa.
Labda Kevin John a.k.a Mbappe au Saimon Msuva.Kwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.
Uongo huo.Labda Kevin John a.k.a Mbappe au Saimon Msuva.
Mkuu mm sio fan wa soka ila maneno haya yamenigusa sana na binafsi naomba nikuhakikishie nitayachukua na kuyaongeza katika list ya malengo yangu 2020Inabidi kuwe na jitihada za maksudi za kubadilisha tamaduni zetu kama kutothamini kazi,
kutojali muda,
kupenda starehe kuliko kazi,
kusema uongo,
kutokuwa wavumilivu (tunakata tamaa mapema)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ajib ni zuzu kabisa kama Haruna Moshi,alikataa kwenda Mazembe ili achezee Simba eti kisa Manara huwa anawaambia simba ni Kubwa kama TP Mazembe na Al Ahlyhivi ajibu ana umri gani? huko simba tu hapati namba sembuse huko ulaya, huyu ni sawa na sanchez wa arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh hapo hapana mkuu! Uwezo wa Ajibu ni wa kawaida sana ila mshabiki wake wa uswahilini ndio wana mboost. Ajibu ni sawa na wachezaji wa uingereza ambao wanasifiwa kwao tu ila hawana kiwango kikubwa.Ajibu angekuwa anajituma ni zaidi ya Samata
Hapana asee. Nadhani hujamuangalia Samatta kiundaniAjibu angekuwa anajituma ni zaidi ya Samata
Itumike kwa samaki wanaotakiwa kukunjwa angali wabichi, nidhamu inahitaji matendo ya muda mrefu.Nimesikia wazungu wamekutafuta uwape details kuhusu Mbwana Samatta. Na wewe ukaahidi utawaambia kuwa tunao wachezaji aina ya Samatta wengi.
Sina tatizo kabisa na details za Samatta. Sina shida na kuwatangaza vijana wote wenye uwezo kama wa Samata ambao naamini wapo. Tatizo langu, ni je wana thamani ya Samatta?
Maana tuna tamaduni mbaya sana ambazo zimeathiri sana tabia, mitizamo, na maono yetu juu ya mambo muhimu kwenye maisha. Tuna wachezaji wasiojituma, walevi, malaya na wasio na maono.
Wengi wakishadajiliwa Yanga na Simba au Azam wanaona wamefika. Hawajipi muda wa ziada wa mazoezi, hawajitunzi afya zao, kwa ujumla hawana nidhamu.
Watu kama hao, ukiwatambulisha kwa wazungu, wakaenda na tabia za uswahili Swahili, watakuwa kikwazo kwa vijana wengine kama Mbwana Samatta watakaotokea baadae. Kwa sasa sijawaona. Wengi wana ujinga ujinga mwingi tu. Wanacheza kama vile ni mastar wa dunia, kumbe wako Yanga tu au Simba.
Inabidi kuwe na jitihada za maksudi za kubadilisha tamaduni zetu kama kutothamini kazi, kutojali muda, kupenda starehe kuliko kazi, kusema uongo, kutokuwa wavumilivu (tunakata tamaa mapema) tofauti na wazungu utaona zimebaki dakika 2 ila wanaforce hadi wanapata goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wa ulaya ni wahuni hawa wa kwetu wakasome, kinachosaidia ni mifumo ya kutambua na kuinua vipaji iliyopo vinawapa mileage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafananisha uhuni wa ulaya na bongo wewe, acha kabisa, wachezaji ulaya wengi ni wahuni ile mbaya.Huu ni ulozi!Wakikusoma hao wachezaji wanaweza kuamini maneno yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijitahidi kwenda kwenye Peak alivyofika akalewa sifa akaharibu baada ya KUKAZA.Thabeet amejitahidi sana
Msuva akikaza buti anaweza kufikia nusu ya Samatta...Kwa sasa ndani ya nchi hatuna mchezaji ambaye ana DNA za Samata kama yupo atajwe.