Shaffi Dauda ni noma alisema mapema kabisa kuwa Simba ndiye underdog kwenye kundi lake

Nyambafff sana. Hivi dauda angesema simba sio underdog mngekubaliana nae pia? Kwa nini watanzania mnapenda fulani afikirie kwa ajili yenu? Mungu nanyi kawapa za kwenu. Kwa nini kuthobitisha kauli zenu kwa kyweka reference za fulani alisema mkabisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…