Shaffih Dauda adai Simba hawako wamoja, anahofia kufanya vibaya Zambia

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja, bado wale walioshindwa uchaguzi wana kinyongo.

Kama ni kweli basi msitarajie Robertinho kuonyesha ufundi, wachezaji wataonekana wazito, hawana uwezo kumbe wamefungwa miguu na wasioitakia mema klabu yetu. Msiturudishe enzi za akina marehemu Juma Salum.
 
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja...
Pambaneni na hali yenu kama timu yenu ni saccos ya wanamatumbo🤔
 
Juma Salum alikuwa kiongozi mamluki aliwapa yanga wachezaji wa Simba ili wawasaidie yanga kimataifa.
 
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja, bado wale walioshindwa uchaguzi wana kinyongo.

Kama ni kweli basi msitarajie Robertinho kuonyesha ufundi, wachezaji wataonekana wazito, hawana uwezo kumbe wamefungwa miguu na wasioitakia mema klabu yetu. Msiturudishe enzi za akina marehemu Juma Salum.
Huyo mpuuzi apuuzwe tu
 
huyu ni muongo anatafuta kiki
 
Waandishi walizoea bahasha toka kwa GSM,kule Simba hakuna Bahasha..hutaki kuizungumzia acha..walitegemea walipiwe nauli na posho juu..wakaaambiwa anayetaka kuambatana na timu ajitegemee wakanuna..GSM akawaambia kuna Coaster za bure njooni..
 
Umetumia hata akili kidgo kabla ya kupost?
 
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja, bado wale walioshindwa uchaguzi wana kinyongo.

Kama ni kweli basi msitarajie Robertinho kuonyesha ufundi, wachezaji wataonekana wazito, hawana uwezo kumbe wamefungwa miguu na wasioitakia mema klabu yetu. Msiturudishe enzi za akina marehemu Juma Salum.
bakini kwenye enzi hizo hizo...sisi wale twaruka pruuuuuu
 
Back
Top Bottom