Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie agent wa samatta.
Namskia hapa clouds Fm kwenye xxl jamaa kajitangaza kua yeye ndie agent wa samatta chini ya Kampuni yake SHADAKA sports management.
Na inasemekana Kwenye deal la samatta kwenda aston Villa Dauda kavuta mpunga mrefu sana.
Shaffih Dauda ni mfano wa kuigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app