Shaffih Dauda: Agent wa Mbwana Samata

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
1,310
Reaction score
1,633
huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie agent wa samatta.

Namskia hapa clouds Fm kwenye xxl jamaa kajitangaza kua yeye ndie agent wa samatta chini ya Kampuni yake SHADAKA sports management.

Na inasemekana Kwenye deal la samatta kwenda aston Villa Dauda kavuta mpunga mrefu sana.

Shaffih Dauda ni mfano wa kuigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishahara ya kina Pogba,Neymar ipo wazi why wa sammata wanaficha ? Ikute anavuta million 5 kwa wiki TZS.
 
Shaffih Dauda Kajuna (SHADAKA) hawa wana deal na kazi ya uagent hasa wachezaji wetu wa kibongo tumpongeze shaffih sio kwa samatta tu kiukweli jamaa anatafuta njia kwa wengi kutoka nje

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu nashukuru kwa mchango wako mzuri. Hawa wote ni watanzania wenzetu yani tunapata faraja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…