Wasemaji wa simba na yanga ni bure kabisa.halafu jerry muro hata danadana mbili hamalizi
sijakuelewa mkuu,kwani huyo ni msemaji wa yanga au ni mpiga danadana wa yanga mpaka itushangaze kutomaliza danadana mbili?Wasemaji wa simba na yanga ni bure kabisa.halafu jerry muro hata danadana mbili hamalizi
Shaffih yuko sahihi wewe ndio unatafsiri kama uchochezi lakini Dauda kuna kitu ametuonyesha kuhusu hizi time mbili kongwe...muwe mnajaribu kujiongeza. nimemkosoa sana Dauda lakini kwa hili Hapana.
Nimepitia ukurasa wa instragram wa mtangazaji wa michezo wa clouds FM ya jijin Dar esSalaam sikupendezwa na video za mipasho alizoweka kuhusu wasemaji wa Yanga na Simba.
Hicho anachofanya nikuendeleza uchochezi usiokuwa na maana.
Malinzi anaweza piga dana dana moja acha mbili maana muro ni msemaji tuu wa mpira na si mtendaji..watu hawajui hata size ya mpira wa miguu unaotakiwa na wanaongoza virabu vikubwa mpira utaendelea kweli hapo..
Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa kuwa malinzi alikuwa promota wa ngumi za kulipwa
kuna waandishi ambao ukisoma makala zao hukosi kuziona fitina, uchochezi, chuki na majungu. waandishi hao ni:
1.SHAFII DAUDA
2.BIN ZUBEIRY