Shafii Dauda atiwa mbaroni na Takukuru Mwanza!

Badala ya kushughulikia kesi za Trillions of money tena za umma....eti Shaffi Dauda

Si wakawatie kwanza mbaroni wale wazungu wa ACACIA?
 
Unamshangaa? Pale Clouds kila mtu ni wa kumtilia mashaka kutokana na mtandao wao wa uuzaji na usambazaji sembe hapa nyumbani na nje ya nchi yetu. Nani asiyewajuwa Clouds na hii biashara haramu?
Mh 😳 😳 😳

Da killer's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…