political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Umeanza kugusa mzizi wa tatizo, endelea kidogo Mkuu.Ninachokiona mimi ule muunganiko wa Inonga na Malone haujatulia mana wote aina yao ya uchezaji ni moja, angalau mmoja wapo acheze na Kennedy. Pia tangu aje Robertinho timu inafungika sana yaani hata tushinde 4 ujue wapinzani wametoboa nyavu za Simba mara 3 au 2.. Cleansheet ni za kutafuta na tochi!
Mkuu changamoto za Simba ni nyingi sana... Hata wachezaji unaona kabisa hawapo sawa sehem fulani... Tuyaache tu mana timu zina wenyewe ni wakali haooUmeanza kugusa mzizi wa tatizo, endelea kidogo Mkuu.
Afungishe mara ngapi? kaangalie mechi ya Azam FC na Simba draw ya 2-2 , Simba Vs ASEC Memosas, Simba Vs Raja Casablanca, Power dynamo Vs SimbaMbona hakuwahi kumfungisha Manula.
Una kipa Ally salum.
Ayoub Mdakapanzi.
Unategemea upate matokeo chanya mbele ya Ahly
Makosa ya simba kwenye sajili zao ndio yanapeklekea watu waanze kutupiana lawama.
(Inonga tangu ameumia mala ya kwanza anacheza kwa hofu mno).
Haoni pia simba ina changamoto ya kiungo mkabaji????
Safu ya ulinzi inafikiwa kirahisi zaidi.
Simba wamehangaika na
Jefferson Luis.
Luis Santos.
Ayoub Lakred.
Hussein Abel.
Unashimdwa kusajili Golikipa wa maana kama JOHN NOBLE. unahangaika na wadaka panzi.
SHAFII NDIO MAANA ANAFUNGIWA NA TFF KUJIHUSISHA NA MPIRA.
CC"Madhaifu makubwa ya Simba yapo kwa Henock Inonga, ni mchezaji anayependa kukokota mpira na kujaribu kupiga chenga ambazo mara nyingi huwa hazina faida kwa klabu kwa maana ya kimbinu."
"Huwa anafanya vitu vingi ambavyo binafsi sioni kama vina faida badala yake vinaiweka klabu kwenye nafasi ngumu endapo ikitokea wamepoteza mpira, ukiangalia Che Malone anajaribu kuziba makosa yanayofanywa na Inonga lakini kwa kuwa Inonga anafanya vitu vinavyopendwa na watu wengi basi huwa inamfanya asiangaliwe sawa lakini ni makosa ambayo hayatakiwi kwa nafasi yake."
-Amesema mchambuzi wa soka Shaffih Dauda kupitia Clouds FM
View attachment 2799816
Kweli kabisaLabda nitoe Darasa kwa faida ya wengi.
Golikipa ndio kocha wa timu ikiwa uwanjani.
Anauona mchezo mzima build up ya timu pinzani mpango kazi wote nk.
Golikipa bora anakupa asilimia 60% ya ushindi.
Sasa kama golikipa Hana uwezo wa kuipanga safu yake ya ulinzi na anayefungwa ni golikipa lawama huwazinamuendea naani kama si golikipa?????
Tatizo la pili.
Safu ya ulinzi ya simba inafikiwa kirahisi sana kwasababu timu haikai na mpira(chama, saido,mzamiru)
Hawa jamaa kila baada ya dakika wanapoteza mpira.
Tatu.
Simba haina kiungo wa ukinzi wa kuweza kuhakikisha safu yake ya ulinzi haifikiwi kirahisi CDM6
wakati wa Thadeo lwanga Timu ilikuwaa haifungwi na backline ilikuwa haifikiwi kabisa.
Lawama zimetoka kwa Onyango zimehama na kwenda kwa Inonga.
Watamtoa Inonga kwenye reli kama walivyomtoa Onyango mara mzee,mara lile.
(Wachambuzi wetu hawa ni kirusi)
Sikatai inonga anamapungufu yake.
Lakini tukumbuke Inonga ametoka kwenye majeraha mara 3 mfululizo.
Na miaka yote alikuwa bora zaidi na kupata tuzo ya beki Bora TANZANIA hadi DRC.
Tujifunze mpira tusikalili.