Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hii list ya Jana ya wachezaji ... kocha alipangiwa na nani?
Yaani unaacha mastaa wako nje?"[emoji47][emoji47]..... Shafii

Msuva sub
Samata sub
Job sub ....kukamilisha ukuta wa yericko
Feitoto.....nje
Mudathiri .....sub
Kibu ......ndani

Hata kama mpira una maajabu ....but haiwezi kuwa kirahisi hivi
1700624887295.jpg
 
kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia

taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
 
Hii list ya Jana ya wachezaji ...kocha alipangiwa na nani ???
Yaani unaacha mastaa wako nje ??"[emoji47][emoji47].....shafii

Msuva sub
Samata sub
Job sub ....kukamilisha ukuta wa yericko
Feitoto.....nje
Mudathiri .....sub
Kibu ......ndani

Hata kama mpira una maajabu ....but haiwezi kuwa kirahisi hiviView attachment 2821324
Kuna mdau atakuja kusema Kocha alipangiwa kikosi na Chawa wa CCM ili kikifunga waimbe mapambio ya Asante Mama 🤪
 
kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia

taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Hapana mkuu [emoji23]...hao watu hawana profession ya mpira
 
Kuna mdau atakuja kusema Kocha alipangiwa kikosi na Chawa wa CCM ili kikifunga waimbe mapambio ya Asante Mama [emoji2957]
Kama ingekuwa kweli basi kocha angeambiwa aweke kikosi full mkoko ...Ili tushinde
 
TUUUNDE TUME KUCHUNGUZA WALIOPANGA LIST YA JANA
SIJUI NA TAKU...WANATUSAIDIAJE ANYWAY///
YANGU BADO UCHUNGUZI UNAENDELEA
NIKOPALE KWA MASAWEEE..
KWA ZAMBIAA HIII LOH
 
Back
Top Bottom