Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Huyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.

Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,

Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?
Sawa sawa ,sio mbaya
 
Labda wanafanya kuleta hamasa
 
Nasimama na kikosi kilichopangwa Jana. Mastaa ndio kitu gani?. Kinachoangaliwa ni Kujitoa kwa mchezaji uwanjani!. Staa asiyejitoa ni galasa tu!
 
weah kashindwaaaa nusu saaa kampigia mwenzie kumpongezaaa
sisi tunashindwaa kuwaa na uvumilivu tuwapongezze jamani moroco boys
walikuwa na odds tamu kha
 
Kuwaheshimu ndio kumetufanya tupoteze mechi....

Jana ilibidi tujilipue tu [emoji23]
 
Jaman tuangalie level ya Tim tuliyochza nayo hao ni title container wa world cup 2022
 
Labda wanafanya kuleta hamasa
Hamasa ya mpira bongo ipo tuu hata bila kumtaja Samia .
Timu ya taifa iachwe kuingiziwa siasa zisizo na maana. Wengine tukiliona hili basi huwaombea wafungwe ili wanaowatuma waaibike. taifa stars ni jeshi kama yalivyo majeshi mengine so lazima wawe huru kuipambania nchi....sio kwa pressure za kisiasa kutaka kumridhisha mtu yeyote.
 
yule dada alieua mwanae kaulizwa kwa nn umemuaa akajibu nilimpigia mama maisha magumu nakuja dar akasema ukija uje mwenyewe `sijaku2tuma uub
Huyo afungwe tu ...Kwann hajajiua yeye[emoji23][emoji23]
 
Nasimama na kikosi kilichopangwa Jana. Mastaa ndio kitu gani?. Kinachoangaliwa ni Kujitoa kwa mchezaji uwanjani!. Staa asiyejitoa ni galasa tu!
Ndo tumefungwa Sasa ....kinachouma ni kufungwa 2...0 bila hata kuwagusa
 
Ndo tumefungwa Sasa ....kinachouma ni kufungwa 2...0 bila hata kuwagusa
Morocco wenyewe mbona wamecheza kizembe Sana. Wametupiga Mbili Tu!. Wangepiga lile pira lao la kupanda wote na kushuka wote uone kazi. Kongole Sana kwa kocha Kwa kuwapa nafasi vijana wapya waoneshe Vipaji vyao(Morris,Charles,Mwaikenda n.k). Kwa vyovyote vile Jana mimi nimeenjoy sana pira la vijana wetu!.
 
Shafi Ni ndumila kuwili ujuwaji mwingi snaa kila kitu anakozoa na kujifanya mtaalamu wa soko

Sasa jaribu kumpa timu asimamie Kama atashika hata nafsi ya kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…