Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Theory moja ambayo huwa nashindwa kuielewa ni vile ambapo tunaweza kuendelea kumsikiliza mtu tunayelalamika kwamba anatuboa, una-tune in Sports Extra ya Clouds FM saa tatu unajua kabisa Shaffii atakuwepo, na atakuboa, kweli anakuboa kesho unarudia tena kusikiliza, hivyo hivyo kila siku.

Bahati nzuri sasa kuna watu wengine wengi ambao wanafanya kama jamaa na unasema kwamba hao ndo bora zaidi yake, lakini hujipi muda wa kuwasikiliza kama unavyosikiliza anayekuboa.

Nakumbuka First Take ya ESPN, nilikuwa simpendi Skip Bayless, lakini kila mara siku namsikiliza na naendelea kulalamika, thanks God alihama ESPN kwa hiyo saa hizi hata simsikilizi kabisa, labda mara moja moja nikijihisi kummiss.

Hapo huwa sielewi kabisa theory yake, kwa nini tusiache kumsikiliza?
 
nampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
 
Tatizo upenzi Lakini Shafi kajaribu we unayemponda umewahi kuchambua nn hata huo mpira siuende Achilia mbali kutokumfustilia Pengine ni vzr kama mtu humpendi usimfustilie other wise kumfuatilia ninkuonyesha we unamkubali sana ila kwakuwa una upenzi na timu fulani ndo kakuboa .
 
nampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna siku alisema inaonekana kocha alikuwa kocha alikuwa "upseted "
 
Shafii ni mchambuzi wa Google sasa kipindi hiki cha smartphone watu wanapata habari za uhakika sasa inapekekea jamaa kuonekana lofa hajui chochote.
 
Yeah tatizo kubwa la Shafii hataki kujifunza eti kwa sababu amecheza mpira ndiyo anajua kila kitu ila akikubali kujielimisha atakuwa mchambuzi bora.
 
Mechi dhidi ya Mtibwa ingekuwa wanaongoza wao na Mtibwa akasawazisha katika mazingira yale, hadi leo ingekuwa kelele dunia nzima na viti wangeng'oa tena. That is Simba.
 
Hahahahahhahaha eti kiungo analinganishwa na mshambuliaji.........!
Anachambua mpira kwa mhemko wa timu mbili tu!


Apart from simba na yanga anaona makala haitasomwa.....

Hakuna mwandish mbovu kama huyu.
 
Naombeni kuuliza nje kidogo ya mada. Kuhusu hizo assist, ina maana magolikipa na mabeki huwa hawana msaada kwa timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…