Shafii Dauda umenikwaza na uchambuzi wako mwepesi kama majibu ya CCM

cluster ndara

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
211
Reaction score
318
Nimemsikiliza mchambuz wa michezo shapii kwenye kipindi cha clouds amenikwaza hadi nimejiuliza hivi huyu ni mchambuzi au ni mtu anapiga porojo ili mradi kipindi kipite?

Ameulizwa kuwa mtibwa anaingia final na Singida sasa kuna tetezi kuwa huweda akichukua ubingwa anaweza asituwakilishe Kombe la nje kutokana kuwa huko nyuma alifungiwa eti shapii anajibu kuwa inabidi tusubiri akipita TFF wataandika barua CAF halafu caf itawajibu kuwa huyu aruhusiwi kushiriki au anaruhusiwa jamani jamani jamani yani Kama walifungiwa si TFF wananakara Ya hiyo adabu?

Iweje tena TFF iwaulize? Inamaaana ukifungiwa hupewi nakala Ya kilichosababisha na umefungiwa Kwa kipindi kipi? Inamaaana hata hao mtibwa hawana nakala Ya kifungo chao?

Kama TFF hawajui basi hawafai kuwepo tena ofisini na Kama mtibwa hajui alifungiwa kipindi gani ni mazobezobe hao vionhozi wao,

Kwa nini namlaaaumu shapiii yeye alitakiwa kuwauliza TFF au mtibwa alitakiwa kufanya utafiti atuletee majibu sasa yeye Hana majibu mtaaalam sisi tutamuuliza Nani?

Shapiii umepotoka haujawajibika rudi TFF uwaulize hiyo adabu Ya mtibwa ni Ya muda gani plz umekengeuka
 
Bro kajifunze kuandika kwanza halafu urudi hapa....

Au hukutumia daftari la mistari midogo na mikubwa chekechea!?
 
Lakini si umeelewa mkuuu typing error ila uneeelewa, unapaswa kujua kuwa smartphone zinaleta shida mkuu Kwa kuwa umeeelewa inatosha
 
Bro kajifunze kuandika kwanza halafu urudi hapa....

Au hukutumia daftari la mistari midogo na mikubwa chekechea!?
Mkuuu Mimi sikusoma chekechea niliruka nilikuwa na akiri Sana nikarukishwa chekechea
 
Mkuuu Mimi sikusoma chekechea niliruka nilikuwa na akiri Sana nikarukishwa chekechea
Akili siyo akiri. Unajua unaposikiliza na ukajua unalishwa matango pori. Unaedit juu kwa juu siyo mpaka ulete humu. Ni vizuri sana km ungeingia kwenye blog yake ukampa makavu live.
 
Jamaa huwa mweupe sana kichwani
 
Tatizo shaffih ana chuki binafsi na liverpool,anaendekeza ushabiki kwenye uchambuzi,jana hajaongelea kabisa mechi za leo UEFA as if hakuna kitu kinachoendelea leo.Bongo wachambuzi uchwara kazi kubet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…